iqna

IQNA

maonyesho ya qurani
Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Maonyesho 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yalifikia tamati Jumanne usiku.
Habari ID: 3478626    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/03

Nasaha
IQNA - Rais wa Iran Ebrahim Raisi amesema Qur'ani Tukufu inaweza kujibu maswali yote ambayo wanadamu wanayo, akibainisha kuwa majibu haya yanaweza kupatikana kwa njia ya ijtihad.
Habari ID: 3478614    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/01

IQNA - Rais wa Iran Ebrahim Raisi ametembelea Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran tarehe 30 Machi 2024. Pia alihudhuria hafla ya kuwaenzi watumishi 15 wa Qur'ani.
Habari ID: 3478610    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/01

Maonyesho ya Qur'ani
IQNA – Kitengo cha Kimataifa cha Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran kimefika ukingoni Alhamisi
Habari ID: 3478599    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/29

Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Hafla itafanyika katika toleo la 31 la Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran kuwaenzi wanaharakati na watumishi kadhaa mashujaa wa Qur'ani na wengine wanaotumikia Kitabu Kitukufu.
Habari ID: 3478585    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/26

Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ni fursa ya kujenga maingiliano na ushirikiano kati ya mataifa ya Kiislamu katika nyanja tofauti zikiwemo sanaa, tafsiri na usomaji, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3478583    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/26

Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Kongamano la kujadili masomo ya Qur'ani nchini Russia au Urusi limefanyika kama sehemu ya Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran.
Habari ID: 3478571    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/25

Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Kazi tisini zilizochaguliwa za sanaa zinaonyeshwa katika sehemu ya sanaa ya Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran.
Habari ID: 3478566    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/24

Diplomasia ya Qur’ani
IQNA - Kongamano lililopewa jina la "Hadhi ya Qur'ani Tukufu katika Afrika ya Sasa" lilifanyika katika Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu Ijumaa usiku.
Habari ID: 3478561    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/23

Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Kuna maandishi mengi ya Qur'ani Tukufu yanayohifadhiwa kwenye Maktaba ya Astan Quds Razavi mjini Mashhad, nchini Iran, ukiwemo Mus'haf Mashhad ambao umetajwa ni nakala kamili zaidi katika maandishi ya Kikufi ya Hijaz.
Habari ID: 3478554    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/22

Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Toleo la 31 la Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yalizinduliwa rasmi katika hafla ya Jumatano jioni, Machi 20.
Habari ID: 3478552    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/21

Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Mkuu wa sehemu ya Hijabu na Ifaf ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran ameleeza kuwa ni moja ya sehemu zinazotembelewa zaidi katika maonyesho hayo ya kila mwaka.
Habari ID: 3478540    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/19

Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Waandaaji wa toleo la 2024 la Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran wanasema nchi 25 zimetangaza kuwa tayari kushiriki katika hafla hiyo.
Habari ID: 3478458    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/06

Maonyesho ya Qur'ani
IQNA – Awamu ya 31 ya Maonesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran imepangwa kuzinduliwa baadaye mwaka huu na sasa waandaaji wamechagua kauli mbiu ya tukio hilo.
Habari ID: 3478448    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/04

Harakati za Qur'ani
IQNA - Maonesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yatafanyika wakati wa likizo ya Nowruz, yaani mwaka mpya wa Kiirani katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3478276    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/30

Maonyesho ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Maonesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yatazinduliwa siku ya 5 ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, ripoti zisizo rasmi zilidokeza jana.
Habari ID: 3478099    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/27

Maonyesho ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Waandaaji wa toleo lijalo la Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran wanakaribisha mawazo mapya ya kuandaa vyema tukio hilo la Qur'ani.
Habari ID: 3477962    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/29

Maonyesho ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Sao Paulo, jiji lenye watu wengi zaidi nchini Brazili, ni mwenyeji wa maonyesho ya Qur’ani Tukufu yatakayoandelea kwa wiki moja.
Habari ID: 3476937    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/30

Maonyesho ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Tafsiri za Qur'ani Tukufu katika lugha tofauti ni kati ya vitabu vilivyowasilishwa katika Maonyesho ya 37 ya Kimataifa ya Vitabu Tunisia
Habari ID: 3476933    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/29

Msanii wa Afghanistan
TEHRAN (IQNA) – Msanii wa Afghanistan, Hakima Qanbari amesema lugha ya sanaa huwasilisha ujumbe bila maneno, na kuongeza kuwa kazi za sanaa za Qur’ani zinawavutia wasio Waislamu.
Habari ID: 3476860    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/13